JeantheHustla - Greatest (Official Lyric Video)



Song was written by JeantheHustla & The Lyric Video was done by Shaky in Nairobi kenya.

Get Greatest Single from your Favorite Store (Links Below)

iTunes - https://itunes.apple.com/ca/album/id1...
Apple Music - https://itunes.apple.com/ca/album/id1...
Spotify - https://open.spotify.com/album/7feZ5d...
Deezer - http://www.deezer.com/en/album/52749852
Google Play - https://play.google.com/store/music/a...
Tidal - https://listen.tidal.com/album/81961319





Greatest Lyrics:-

Ukiskiiza hii ngoma uta shiver
Ni kawaida
Na si we wakwanza
Na kuna mingi kaa hizi moto jikoni zinakuja
Legoo


Verse 1:
Ambia kila fala yeyote hujiita mfalme that hustla said his time is over
Ulimwengu nimecome kuiconquer na east africa yote mzima kwa mabega
Hutaniskia nikilalamika
Ati naigerians wanavuma kwetu kutushinda
Mziki mzuri
Adisia swaga
Mkwanja
Eventualy watahama
Am the best
Naeshimika
Mtaa yenu
Nakubalika
Watoto wazazi wanakatika
I am the greatest
Skiza mzuka

Chorus:
Nimetoka kuleee
Farthest
Kwa hii rap mi si sick
Illest
Nimeleta tamutamu
Sweetest
Handsome
Oh yes
Ukiskia jina langu sema
Greatest
Am a hustler baby realest
Illest
Sweetest
Hottest
Call me the greatest

Verse 2:
Myaka kumi na saba kujiandaa
Hikuonja kama sukari
Mablander nazo mingi nashangaa
Shida yangu
Ni nini kwani
Machozi mingi inanidondoka
Nashindwa kwani mungu wangu haniskii yani
Pole pole masiku zinasonga nazidi kukuwa na akili inakomaa
Nikafahamu ya kwamba ata na dawa mkono tupu haulambwi ata
Bonga kuhusu fedha tubonge ile maisha hapana ilikuwa noma sana

Chorus:
Nimetoka kuleee
Farthest
Kwa hii rap mi si sick
Illest
Nimeleta tamutamu
Sweetest
Handsome
Oh yes
Ukiskia jina langu sema
Greatest
Am a hustler baby realest
Illest
Sweetest
Hottest
Call me the greatest


Verse 3 :
Nai deserve
Mingi nahitaji eh
Success yangu raha tupu maishani eh
Kila sekunde dakika natia bidii
Am self made
Hii ni jasho langu
Patience imekuwa ndugu yangu
Sasa napata mnakuwa adui zangu
Mi si mbaya please don't push me
Nitawapitia juu kama kifaru
Chuki peleka mbali nani mda yangu
Nataka watotoo wazuri wakatike
Rewind hii track please tena dj
Hii ni ya mahustler
Bonyeza replay


Chorus:
Nimetoka kuleee
Farthest
Kwa hii rap mi si sick
Illest
Nimeleta tamutamu
Sweetest
Handsome
Oh yes
Ukiskia jina langu sema
Greatest
Am a hustler baby realest
Illest
Sweetest
Hottest
Call me the greatest (2x)

Outro:

Voilaaaa
Mziki biashara
Tunawachengachenga
Ka mzee kihara
Jeanthehustla
Umaarufu ka zidane
Hahaaa
Yesir
Chapa hilare
Iinuke mpaka ikauke
Hahaaa
Watcha watcha watcha
Share on Google Plus

About SpaxtheRoyal

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :